Suluhisho
Ikiwa mashine ya mpokeaji haichukui simu yako ndani ya sekunde 50 baada ya printa kimaliza kudayo, simu hiyo itakatika kwa hitilafu. Dayo ukitumia
(Kw. Kiopoo) au ukitumia simu iliyounganishwa ili ukague muda inayochukua kabla ya kusikia toni ya faksi. Ikiwa itachukua zaidi ya sekunde 50, ongeza kusimamisha bada ya nambari ya faksi ili utume faksi. Donoa
ili uingize kusimamisha. Kistari kinaingizwa kama alama ya kusimamisha. Kusimamisha mara moja ni kama sekunde tatu. Ongeza kusimamisha mara nyingi inavyohitajika.