Uendeshaji unaweza kutofautiana kulingana na kifaa.
Sanidi kichapishi chako kwa uchapishi wa pasi waya.
Ikiwa Epson iPrint haijasakinishwa, isakinishe.
Unganisha kifaa chako maizi kupitia kipanga njia pasiwaya.
Fungua ukurasa wa tovuti unaotaka kuchapisha kwenye programu ya kivinjari chako cha wavuti.
Donoa Shiriki kutoka katika menyu ya programu ya kivinjari chako cha wavuti.
Teua iPrint.
Donoa Chapisha.