Weka karatasi tupu yenye ukubwa wa A4 katika kichapishi.
Teua Matengenezo kwenye skrini ya nyumbani.
Teua Upangiliaji wa Kichwa cha Kuchapisha.
Teua mojawapo ya menyu za ulainishaji, na kisha ufuate maagizo kwenye skrini ili uchapishe ruwaza ya ulainishaji.
Fuata maagizo ya kwenye skrini.