Sifa za Ithaneti

Viwango

IEEE802.3i (10BASE-T)*1

IEEE802.3u (100BASE-TX)

IEEE802.3az (Ithaneti Inayotumia Nguvu Vizuri)*2

Modi ya Kuwasiliana

Oto, Dupleksi nzima ya Mb 10/s, Dupleksi nusu ya Mb 10/s, Dupleksi nzima ya Mb 100/s, Dupleksi nusu ya Mb 100/s

Kiunganishi

RJ-45

*1 Tumia kebo ya STP ya kategoria ya 5e au zaidi (Mbili zenye kinga na mkunjo) ili kuzuia hatari ya usumbufu wa redio.

*2 Kifaa kilichounganishwa kinafaa kifuate viwango vya IEEE802.3az.