Hii ni orodha ya vipengee vya Mpangilio wa Kufunga katika Mipangilio > Mipangilio ya Jumla kwenye paneli dhibiti.
Baadhi ya vipengele vinaweza kuwezeshwa au kulemazwa kimoja baada ya kingine.
|
Menyu ya Mipangilio ya Jumla |
Panel Lock |
|||
|---|---|---|---|---|
|
Mipangilio Msingi |
- |
|||
|
Mwangaza wa LCD |
- |
|||
|
Sauti |
- |
|||
|
Kipima saa cha Kulala |
✓ |
|||
|
Amsha |
- |
|||
|
Kipima Saa ya Kuzima au Mip'ilio ya Kuzima |
✓ |
|||
|
Mipangilio ya Tarehe/Saa |
✓ |
|||
|
Nchi/Eneo |
✓ |
|||
|
Lugha/Language |
✓*1 |
|||
|
Skrini ya Kuanza |
✓ |
|||
|
Hariri Ukurasa wa Nyumbani |
✓ |
|||
|
Pazia |
✓ |
|||
|
Muda wa Shughuli Umeisha |
✓ |
|||
|
Kibodi |
- |
|||
|
Skrini chaguo-msingi(Kazi/Hali) |
✓ |
|||
|
Menyu ya Mipangilio ya Jumla |
Panel Lock |
|||
|---|---|---|---|---|
|
Mipangilio ya Printa |
- |
|||
|
Mipangilio Chanzo Karatasi |
- |
|||
|
Mipangilio Uchapishaji Jumla |
✓ |
|||
|
Kitatatua Hitilafu Kiotomatiki |
✓ |
|||
|
Kiolesura cha Kifaa cha Kumbukumbu |
✓ |
|||
|
Karatasi Nyembamba |
✓*1 |
|||
|
Hali Tulivu |
✓*1 |
|||
|
Muda wa Kukausha Wino |
- |
|||
|
Mwelekeo |
- |
|||
|
Uongezeaji Otomatiki wa Trei ya Towe |
- |
|||
|
Muunganisho wa Kompyuta kupitia USB |
✓ |
|||
|
Menyu ya Mipangilio ya Jumla |
Panel Lock |
|||
|---|---|---|---|---|
|
Mipangilio ya Mtandao |
✓ |
|||
|
Usanidi wa Wi-Fi |
✓ |
|||
|
Usanidi wa Lana ya Waya |
✓ |
|||
|
Hali ya Mtandao |
✓ |
|||
|
Hali ya LAN ya waya/Wi-Fi |
✓*2 |
|||
|
Hali ya Wi-Fi Direct |
✓*2 |
|||
|
Hali ya Seva ya Barua pepe |
✓*2 |
|||
|
Chapisha Karatasi ya Hali |
✓*2 |
|||
|
Ukaguzi wa Muunganisho |
✓*3 |
|||
|
Mahiri |
✓ |
|||
|
Jina la Kifaa |
✓ |
|||
|
TCP/IP |
✓ |
|||
|
Seva mbadala |
✓ |
|||
|
Seva ya Barua pepe |
✓ |
|||
|
Anwani ya IPv6 |
✓ |
|||
|
Kushiriki Mtandao wa MS |
✓ |
|||
|
Kasi na Urudufu wa Wino |
✓ |
|||
|
Elekeza upoya HTTP kwa HTTPS |
✓ |
|||
|
Lemaza Uchujaji wa IPsec/IP |
✓ |
|||
|
Lemaza IEEE802.1X |
✓ |
|||
|
Menyu ya Mipangilio ya Jumla |
Panel Lock |
|||
|---|---|---|---|---|
|
Mipangilio ya Huduma ya Wavuti |
✓ |
|||
|
Hdma za Kuunginsha Epson |
✓ |
|||
|
Menyu ya Mipangilio ya Jumla |
Panel Lock |
|||
|---|---|---|---|---|
|
Mipangilio ya Faksi |
✓ |
|||
|
Kitufe cha Matumizi ya Haraka |
✓ |
|||
|
Mipangilio Msingi |
✓ |
|||
|
Mipangilio ya Kutuma |
✓ |
|||
|
Mipangilio ya Kupokea |
✓ |
|||
|
Mipangilio ya Ripoti |
✓ |
|||
|
Mipangilio ya Usalama |
✓ |
|||
|
Kagua Muunganisho wa Faksi |
✓ |
|||
|
Sogora ya Mpangilio wa faksi |
✓ |
|||
|
Menyu ya Mipangilio ya Jumla |
Panel Lock |
|||
|---|---|---|---|---|
|
Mip'o ya Ucha'uzi |
✓ |
|||
|
Thibitisha Mpokeaji |
✓ |
|||
|
Seva ya Barua pepe |
✓ |
|||
|
Menyu ya Mipangilio ya Jumla |
Panel Lock |
|||
|---|---|---|---|---|
|
Usimamizi wa Mtandao |
✓ |
|||
|
Kisimamia Waasiliani |
✓ |
|||
|
Sajili/Futa |
✓*1, *4 |
|||
|
Mara kwa mara |
✓*4 |
|||
|
Chapisha Waasiliani |
✓ |
|||
|
Angalia Chaguo |
✓*4 |
|||
|
Chaguo za Utafutaji |
✓*4 |
|||
|
Ondoa Data ya Kumbukumbu ya Ndani |
✓ |
|||
|
Mipangilio ya Usalama |
✓ |
|||
|
Vikwazo |
✓ |
|||
|
Fikia Vidhibiti |
✓ |
|||
|
Mipangilio ya Msimamizi |
✓ |
|||
|
Nenosiri la Msimamizi |
✓ |
|||
|
Mpangilio wa Kufunga |
✓ |
|||
|
Ufichamishaji wa Nenosiri |
✓ |
|||
|
Utafiti wa Wateja |
✓ |
|||
|
Rejeza Mipangilio Chaguo-msingi |
✓ |
|||
|
Sasisho la Pro. |
✓ |
|||
✔ = Ya kufunga.
- = Isiyo fungwa.
*1: Unaweza kuwezesha au kulemaza ufungaji kutoka kwenye Mipangilio ya Jumla > Usimamizi wa Mtandao > Mipangilio ya Usalama > Vikwazo.
*2: Ingawa vipengee kwenye sehemu ya juu vinaweza kufungwa kwa kufuli ya msimamizi, bado unaweza kuzifikia kutoka katika menyu sawa ya jina ya Mipangilio > Hali ya Printa/Chapisha.
*3: Ingawa vipengee kwenye sehemu ya juu vinaweza kufungwa kwa kufuli ya msimamizi, bado unaweza kuzifikia kutoka katika Nyumbani >
> Ufafanuzi > Wakati huwezi kuunganisha kwenye mtandao.
*4: Ingawa vipengee kwenye sehemu ya juu vinaweza kufungwa kwa kufuli ya msimamizi, bado unaweza kuzifikia kutoka katika menyu sawa ya jina ya Mipangilio > Kisimamia Waasiliani.