> Kukarabati Kichapishi > Kuhifadhi Nishati > Kuhifadhi Nishati — Paneli Dhibiti

Kuhifadhi Nishati — Paneli Dhibiti

  1. Teua Mipangilio kwenye skrini ya nyumbani.

  2. Teua Mipangilio ya Jumla > Mipangilio Msingi.

  3. Fanya moja kati ya zifuatazo.

    Kumbuka:

    Huenda bidhaa yako ina kipengele cha Mip'ilio ya Kuzima au Kipima Saa ya Kuzima kulingana na eneo la ununuzi.

    • Chagua Kipima saa cha Kulala au Mip'ilio ya Kuzima > Zima Ikiwa Haitumiki au Zima ikiwa Imetenganishwa, na kisha uweze mipangilio.
    • Chagua Kipima saa cha Kulala au Kipima Saa ya Kuzima, na kisha uweke mipangilio.