> Kutatua Matatizo > Kichapishi Hakifanyi Kazi Inavyotarajiwa > Karatasi Haitoi Mlisho Ipasavyo > Karatasi Kadhaa Kuwekwa Moja baada ya Nyingine

Karatasi Kadhaa Kuwekwa Moja baada ya Nyingine

Sababu zifuatazo zinaweza kuzingatiwa.

Eneo la usakinishaji halifai.

Suluhisho

Weka printa kwenye eneo tambarare na uitumie katika hali ya mazingira iliyopendekezwa.

Karatasi isiyokubaliwa inatumika.

Suluhisho

Tumia karatasi inayokubaliwa na hiki kichapishi.

Ushughulikiaji wa karatasi si sahihi.

Suluhisho

Fuata maagizo ya kushughilikia karatasi.

Karatasi ina unyevunyevu au ni chafu.

Suluhisho

Pakia karatasi mpya.

Umeme wa mgusano unasababisha laha za karatasi kushikana.

Suluhisho

Pepeta karatasi kabla ya kupakia. Ikiwa karatasi haitalishwa, pakia karatasi moja baada ya nyingine.

Laha nyingi zimepakiwa kwenye kichapishi.

Suluhisho

Usiweke zaidi ya upeo wa idadi ya karatasi uliotajwa kwa karatasi.

Mipangilio ya karatasi kwenye kichapishi si sahihi.

Suluhisho

Hakikisha mipangilio ya ukubwa wa karatasi na aina ya karatasi inalingana na ukubwa halisi wa karatasi na aina ya karatasi iliyopakiwa kwenye kichapishi.

Laha nyingi za karatasi hulishwa kwa wakati mmoja watika wa uchapishaji wa pande 2 mwenyewe.

Suluhisho

Ondoa karatasi yoyote ambayo imepakiwa kwenye chanzo cha karatasi kabla ya kupakia karatasi tena.