Unaweza kuangalia maelezo yafuatayo ya kutumia kichapishi kutoka Status kwa kutumia Web Config.
Product Status
Angalia hali, huduma ya wingu, nambari ya bidhaa, anwani ya MAC, n.k.
Network Status
Angalia maelezo ya hali ya muunganisho wa mtandao, Anwani ya IP, Seva ya DNS, n.k.
Usage Status
Angalia siku ya kwanza ya uchapishaji, kurasa zilizochapishwa, idadi ya uchapishaji kwa kila lugha, idadi ya utambazaji, n.k.
Hardware Status
Angalia hali kwa kila utendakazi wa kichapishi.
Job History
Angalia kumbukumbu ya kazi kwa kazi za uchapishaji, kazi za uwasilishaji na mengineyo.