> Kutatua Matatizo > Ubora wa Kuchapisha, Kunakili na Kutambaza ni Duni > Ubora wa Nakala ni wa chini > Mistari wa Rangi Hutokea kati ya Umbali wa Takribani 1.1 cm au 3.3 cm

Mistari wa Rangi Hutokea kati ya Umbali wa Takribani 1.1 cm au 3.3 cm

Sababu zifuatazo zinaweza kuzingatiwa.

Mipangilio ya aina ya karatasi hailingani na karatasi iliyopakiwa.

Suluhisho

Teua mpangilio unaofaa wa aina ya karatasi kwa aina ya karatasi iliyopakiwa katika kichapishi.

Mkao wa kichwa cha kuchapisha haujaoana.

Suluhisho

Lainisha kichwa cha kuchapisha kwa kutumia kipengele cha Urekebishaji wa Ubora wa Chapa.