Teua Hali ya Kazi kwenye skrini ya nyumbani ili kuonyesha skrini ya Hali ya Kazi. Unaweza kuangalia hali ya kichapishi au kazi.

|
|
Hubadili orodha zilizoonyeshwa. |
|
|
Chuja kazi kwa utendaji. |
|
|
Wakati Inatumika imeteuliwa, huonyesha orodha ya kazi zinazoendelea na kazi zinazosubiri kuchakatwa. Wakati Kumbukumbu imeteuliwa, huonyesha historia ya kazi. Unaweza kukatisha kazi au kukagua msimbo wa kosa ulioonyeshwa kwenye historia wakati kazi imeshindikana. |
|
|
Huonyesha makadirio ya maisha ya huduma ya kikasha cha ukarabati. |
|
|
Huonyesha makosa yoyote ambayo yametokea kwenye kichapishi. Teua kosa kutoka kwenye orodha ili kuonyesha ujumbe wa kosa. |