Leta CA Certificate kwenye kichapishi.
Fikia Web Config kisha uteue kichupo cha Network Security > CA Certificate.
Bofya Import.
Bainisha CA Certificate unachotaka kuleta.
Bofya OK.
Ukikamilisha kuleta, unaweza kurejea kwenye skrini ya CA Certificate, na CA Certificate kilicholetwa kinaonyeshwa.