Kuwezesha Mpangilio wa Kufunga kutoka kwenye Kompyuta

  1. Fikia Web Config kisha ubofye Administrator Login.

  2. Ingiza jina la mtumiaji na nenosiri kisha ubofye OK.

  3. Teua kichupo cha Device Management > Control Panel.

  4. Kwenye Panel Lock, teua ON.

  5. Bofya OK.

  6. Angalia kwamba imeonyeshwa kwenye skrini ya nyumbani kwenye paneli dhibiti ya kichapishi.