Hamisha mpangilio kwa kichapishi.
Fikia Web Config na kisha uteue kichupo cha Device Management > Export and Import Setting Value > Export.
Teua mipangilio ambayo unataka kuhamisha.
Teua mipangilio unayotaka kuhamisha. Iwapo utateua kategoria ya mzazi, kategoria ndogo pia zinateuliwa. Hata hivyo, kategoria ndogo ambazo zinasababisha makosa kwa kurudufisha ndani ya mtandao sawa (kama vile anwani za IP na zaidi) haziwezi kuteuliwa.
Ingiza nywila ili kusimba fiche faili iliyohamishwa.
Unahitaji nywila ili kuhamisha faili. Usijaze hii iwapo hutaki kusimba fiche faili.
Bofya Export.
Iwapo unataka kuhamisha mipangilio ya mtandao wa kichapishi kama vile jina na anwani ya IPv6, teua Enable to select the individual settings of device na uteue vipengee zaidi. Tumia tu thamani zilizoteuliwa kwa kichapishi cha ubadilishaji.