Epson Photo+ ni programu inayokuruhusu kuchapusha taswira kwa urahisi kwa mipangilio mbalimbali. Pia unaweza kufanya marekebisho ya taswira na kurekebisha mkao unapotazama uhakiki wa waraka wako. Pia unaweza kuongeza mwangaza kwenye taswira zako kwa kuongeza matini na mihuri unapopenda. Unapochapisha kwenye karatasi hjalali la picha la Epson, utendaji wa wino unetumika kwa upeo wa juu kuunda ukamilisho maridadi kwa rangi nzuri zaidi.
Angalia msaada wa programu kwa maelezo.
Programu endeshi za Windows Server hazikubaliwi.
Ili utumie programu hii kiendeshji cha kichapishi kinahitaji kusakinishwa.
Windows 10
Bofya kitufe cha kuwasha kisha uteue Epson Software > Epson Photo+.
Windows 8.1/Windows 8
Andika jina la programu katika sehemu ya utafutaji, na kisha uchague ikoni inayoonekana.
Windows 7/Windows Vista/Windows XP
Bofya kitufe cha kuwasha kisha uteue Programu Zote au Programu > Epson Software > Epson Photo+.
Teua Nenda > Programu > Epson Software > Epson Photo+.