Programu hii hukuruhusu kutambaza nyaraka kwa urahisi na kisha kuhifadhi tasiwira zilizotambazwa kwa hatua rahisi.
Angalia msaada wa Epson ScanSmart kwa maelezo kuhusu kutumia vipengele hivi.
Windows 10
Bofya kitufe cha kuwasha, na kisha uteue Epson Software > Epson ScanSmart.
Windows 8.1/Windows 8
Andika jina la programu katika sehemu ya utafutaji, na kisha uchague ikoni inayoonekana.
Windows 7
Bofya kitufe cha kuwasha kisha uteue Programu Zote > Epson Software > Epson ScanSmart.
Teua Nenda > Programu > Epson Software > Epson ScanSmart.