Unaweza kuangalia muunganisho kwenye seva ya barua kwa kutekeleza ukaguzi wa muunganisho.
Fikia Web Config na uteue kichupo cha Network > Email Server > Connection Test.
Teua Start.
Jaribio la muunganisho kwenye seva ya barua limeanzishwa. Baada ya jaribio, ripoti ya ukaguzi inaonyeshwa.
Pia unaweza kuangalia muunganisho kwenye seva ya barua kutoka kwenye paneli ya udhibiti ya kichapishi. Fikia kama ilivyo hapa chini.
Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Mtandao > Mahiri > Seva ya Barua pepe > Ukaguzi wa Muunganisho