Kuwezesha Mpangilio wa Kufunga kutoka kwenye Paneli Dhibiti

  1. Teua Mipangilio kwenye paneli dhibiti ya kichapishi.

  2. Teua Mipangilio ya Jumla > Usimamizi wa Mtandao > Mipangilio ya Usalama > Mipangilio ya Msimamizi.

  3. Teua On kwenye Mpangilio wa Kufunga.

Angalia kwamba inaonyeshwa kwenye skrini ya nyumbani.