> Maelezo ya Bidhaa > Ufafanuzi wa Bidhaa > Kutumia Kituo cha Kichapishi

Kutumia Kituo cha Kichapishi

Kichapishi hutumia kituo kifuatacho. Vituo hivi vinafaa kuruhusiwa kupatikana na msimamizi wa mtandao iwezekanavyo.

Mtumaji (Mteja)

Matumizi

Ufikio (Seva)

Itifaki

Nambari ya Kituo

Kichapishi

Kutuma faili (Wakati tambaza kwenye folda ya mtandao inatumika kutoka kwenye kichapishi)

Seva ya FTP

FTP (TCP)

20

21

Seva ya faili

SMB (TCP)

445

NetBIOS (UDP)

137

138

NetBIOS (TCP)

139

Kutuma barua pepe (Wakati tambaza kwenye barua pepe inatumika kutoka kwenye kichapishi)

Seva ya SMTP

SMTP (TCP)

25

SMTP SSL/TLS (TCP)

465

SMTP STARTTLS (TCP)

587

POP kabla ya Muunganisho wa SMTP (Wakati tambaza kwenye barua pepe inatumika kutoka kwenye kichapishi)

Seva ya POP

POP3 (TCP)

110

Wakati Epson Connect inatumika

Seva ya Epson Connect

HTTPS

443

XMPP

5222

Kukusanya maelezo ya mtumiaji (Tumia waasiliani walio kwenye kichapishi)

Seva ya LDAP

LDAP (TCP)

389

LDAP SSL/TLS (TCP)

636

LDAP STARTTLS (TCP)

389

Uidhinishaji wa mtumiaji wakati wa kukusanya maelezo ya mtumiaji (Unapotumia waasiliani kutoka kwenye kichapishi)

Uidhinishaji wa mtumiaji unapotumia folda ya kutambaza kwenye mtandao (SMB) kutoka kwenye kichapishi

Seva ya KDC

Kerberos

88

WSD ya Udhibiti

Komptyuta ya mteja

WSD (TCP)

5357

Tafuta kompyuta wakati utambazaji wa kusukuma kutoka Epson ScanSmart

Komptyuta ya mteja

Ugunduzi wa Mtandao wa Utambazaji wa Kusukuma

2968

Komptyuta ya mteja

Gundua kichapishi kutoka kwenye mafikio kama vile EpsonNet Config, kiendfeshi cha kichapishi, na kiendeshi cha kitambazaji.

Kichapishi

ENPC (UDP)

3289

Kusanya na usanidi maelezo ya MIB kutoka kwenye programu kama vile EpsonNet Config, kiendeshi cha kichapishi, na kiendeshi cha kitambazaji.

Kichapishi

SNMP (UDP)

161

Kusambaza data ya LPR

Kichapishi

LPR (TCP)

515

Kusambaza data ya RAW

Kichapishi

RAW (Port 9100) (TCP)

9100

Kusambaza data ya AirPrint (uchapishaji wa IPP/IPPS)

Kichapishi

IPP/IPPS (TCP)

631

Kutafuta kichapishi cha WSD

Kichapishi

WS-Discovery (UDP)

3702

Kusambaza data ya utambazaji kutoka Epson ScanSmart

Kichapishi

Utambazaji wa Mtandao (TCP)

1865

Kukusanya maelerzo ya kazi wakati wa utambazaji wa kusukuma kutoka Epson ScanSmart

Kichapishi

Utambazaji wa Kusukuma wa Mtandao

2968

PC-FAX

Kichapishi

HTTP (TCP)

80

HTTPS (TCP)

443