1 Chagua kwenye skrini ya mwanzo ya printa.
2 Teua Wi-Fi Direct.
3 Gusa Anza Kusanidi.
4 Gusa Android.
5 Fuata maelekezo yaliyo kwenye paneli-dhibiti ya printa ukamilishe mipangilio ya muunganisho.