> Kutatua Matatizo > Kichapishi Hakifanyi Kazi Inavyotarajiwa > Msimbo wa Hitilafu kwenye Menyu ya Hali

Msimbo wa Hitilafu kwenye Menyu ya Hali

Ikiwa kazi haitafanikiwa kukamilika, kagua msimbo wa hitilafu ulioonyeshwa kwenye historia ya kila kazi. Unaweza kukagua msimbo wa hitilafu kwa kubonyeza kitufe cha na kisha kuchagua Hali ya Kazi. Angalia jedwali linalofuata ili upate tatizo na suluhisho lake.

Msimbo

Tatizo

Suluhisho

001

Bidhaa ilizimwa kwa sababu ya tatizo la nishati.

-

101

Kumbukumbu imejaa.

Jaribu mbinu zilizo hapa chini ili kupunguza ukubwa wa kazi ya kuchapisha.

  • Punguza ubora na mwonekano wa chapisho.

  • Badilisha mpangilio wa umbizo.

  • Punguza idadi ya picha, herufi au fonti zinazotumiwa kwenye kazi ya kuchapisha.

102

Uchapishaji ulioainishwa umeshindikana kwa sababu ya ukosefu wa kumbukumbu inayopatikana.

  • Teua Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Usimamizi wa Mtandao > Ondoa Data ya Kumbukumbu ya Ndani > Fonti ya PDL, Makro, na kisha uondoe fonti na makro ulizopakua.

  • Jaribu mbinu zilizo hapa chini ili kupunguza ukubwa wa kazi ya kuchapisha. Iwapo unataka kutumia mbinu hizi, jaribu nakala moja kwa wakati mmoja.

    • Punguza ubora na mwonekano wa chapisho.

    • Badilisha mpangilio wa umbizo.

    • Punguza idadi ya picha, herufi au fonti zinazotumiwa kwenye kazi ya kuchapisha.

103

Ubora wa uchapishaji umepungua kwa sababu ya ukosefu wa kumbukumbu inayopatikana.

Iwapo hutaki kupunguza ubora wa chapisho, jaribu mbinu zifuatazo ili kupunguza ukubwa wa kazi ya uchapishaji.

  • Badilisha mpangilio wa umbizo.

  • Punguza idadi ya picha, herufi au fonti zinazotumiwa kwenye kazi ya kuchapisha.

104

Uchapishaji wa kinyume umeshindikana kwa sababu ya ukosefu wa kumbukumbu inayopatikana.

  • Teua Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Usimamizi wa Mtandao > Ondoa Data ya Kumbukumbu ya Ndani > Fonti ya PDL, Makro, na kisha uondoe fonti na makro ulizopakua.

  • Iwapo hutaki chapisho katika kinyume, jaribu mbinu zifuatazo ili kupunguza ukubwa wa kazi ya uchapishaji.

    • Punguza ubora na mwonekano wa chapisho.

    • Badilisha mpangilio wa umbizo.

    • Punguza idadi ya picha, herufi au fonti zinazotumiwa kwenye kazi ya kuchapisha.

106

Haiwezi kuchapisha kutoka kwenye kompyuta kwa sababu ya mipangilio ya kudhibiti ufikiaji.

Wasiliana na msimamizi wako wa kichapishi.

107

Uhalalishaji wa mtumiaji umeshindikana. Kazi imekatishwa.

  • Hakikisha kuwa jina la mtumiaji na nywila ni sahihi.

  • Teua Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Usimamizi wa Mtandao > Mipangilio ya Usalama > Fikia Vidhibiti. Wezesha kitendaji cha kuzuia mtumiaji, na kisha uruhusu kazi bila maelezo ya uhalalishaji.

108

Data ya siri ya kazi ilifutwa wakati kichapishi kilizimwa.

-

110

Kazi ilichapishwa kwenye upande mmoja tu kwa sababu karatasi iliyopakiwa haikubali uchapishaji wa pande mbili.

Ikiwa unataka kutekeleza uchapishaji wa pande 2, pakia karatasi ambazo inakubali uchapishaji wa pande 2.

111

Kumbukumbu iliyopo inapungua nafasi.

Jaribu mbinu zilizo hapa chini ili kupunguza ukubwa wa kazi ya kuchapisha.

  • Punguza ubora na mwonekano wa chapisho.

  • Badilisha mpangilio wa umbizo.

  • Punguza idadi ya picha, herufi au fonti zinazotumiwa kwenye kazi ya kuchapisha.

120

Haiwezi kuwasiliana na seva iliyounganishwa kwa kutumia jukwaa wazi.

Hakikisha hakuna makosa kwenye seva au mtandao.

301

Hakuna nafasi ya kutosha ya kumbukumbu ya kuhifadhi data katika kifaa cha kumbukumbu.

  • Ongeza nafasi ya hifadhi katika kifaa cha kumbukumbu.

  • Punguza idadi ya hati.

  • Punguza mwonekano wa kuchanganua au ongeza mgao wa mfinyazo ili upunguze ukubwa wa picha iliyochanganuliwa.

302

Kifaa cha kumbukumbu kimelindwa dhidi ya kuandikwa.

Leza ulinzi wa kuandika kwenye kifaa cha kumbukumbu.

303

Hakuna folda iliyoundwa ili kuhifadhi picha iliyochanganuliwa.

Ingiza kifaa kingine cha kumbukumbu.

304

Kifaa cha kumbukumbu kimeondolewa.

Ingiza upya kifaa cha kumbukumbu.

305

Hitilafu imetokea wakati wa kuhifadhi data kwenye kifaa cha kumbukumbu.

Ikiwa kifaa cha nje kinafikiwa kutoka kwenye kompyuta, subiri kwa muda na kisha ujaribu tena.

306

Kumbukumbu imejaa.

Subiri hadi kazi nyingine zinazoendelea zikamilike.

311

Hitilafu ya DNS imetokea.

  • Chagua Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Mtandao > Mahiri > TCP/IP, na kisha ukague mipangilio ya DNS.

  • Kagua mipangilio ya DNS ya seva, kompyuta, au eneo la ufikiaji.

312

Hitilafu ya uhalalishaji imetokea.

Chagua Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Mtandao > Mahiri > Seva ya Barua pepe > Mipangilio ya Seva, na kisha ukague mipangilio ya seva.

313

Hitilafu ya mawasiliano imetokea.

  • Chapisha ripoti ya muunganisho wa mtandao ili ukague kama printa imeunganishwa kwenye mtandao.

  • Teua Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Mtandao > Mahiri > Seva ya Barua pepe > Mipangilio ya Seva ili ukague kama mipangilio ya seva ya barua pepe. Unaweza kuangalia sababu ya kosa kwa kufanya ukaguzi wa muunganisho.

  • Mbinu ya uhalalishaji ya mipangilio na seva ya barua pepe huenda isilingane. Unapochagua Zima kama mbinu ya uhalalishaji, hakikisha mbinu ya uhalalishaji ya seva ya barua pepe imewekwa kuwa Hakuna.

314

Ukubwa wa data unazidisha upeo wa ukubwa kwa faili zilizoambatishwa.

  • Ongeza mpangilio wa Upeo wa Ukubwa wa Kiambatisho katika mipangilio ya uchanganuzi.

  • Punguza mwonekano wa kuchanganua au ongeza mgao wa mfinyazo ili upunguze ukubwa wa picha iliyochanganuliwa.

315

Kumbukumbu imejaa.

Jaribu tena baada ya kazi nyingine zinazoendelea zikamilike.

316

Hitilafu ya usimbaji wa barua pepe imetokea.

  • Hakikisha mpangilio wa cheti cha usimbaji ni sahihi.

  • Hakikisha mpangilio wa saa wa kichapishi ni sahihi.

317

Hitilafu ya sahihi ya barua pepe imetokea.

  • Hakikisha mpangilio wa utiaji wa sahihi kwenye cheti ni sahihi.

  • Hakikisha mpangilio wa saa wa kichapishi ni sahihi.

321

Hitilafu ya DNS imetokea.

  • Chagua Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Mtandao > Mahiri > TCP/IP, na kisha ukague mipangilio ya DNS.

  • Kagua mipangilio ya DNS ya seva, kompyuta, au eneo la ufikiaji.

322

Hitilafu ya uhalalishaji imetokea.

Angalia mipangilio ya Eneo.

323

Hitilafu ya mawasiliano imetokea.

  • Angalia mipangilio ya Eneo.

  • Chapisha ripoti ya muunganisho wa mtandao ili ukague kama printa imeunganishwa kwenye mtandao.

324

Faili yenye jina laka hilo tayari ipo katika folda iliyobainishwa.

  • Futa faili yenye jina sawa.

  • Badilisha kiambishi awali cha jina la faili katika Mipanilio ya Faili.

325

326

Hakuna nafasi ya kutosha ya kuhifadhi katika folda iliyobainishwa.

  • Ongeza nafasi ya hifadhi katika folda iliyobainishwa.

  • Punguza idadi ya hati.

  • Punguza mwonekano wa kuchanganua au ongeza mgao wa mfinyazo ili upunguze ukubwa wa picha iliyochanganuliwa.

327

Kumbukumbu imejaa.

Subiri hadi kazi nyingine zinazoendelea zikamilike.

328

Mafikio hayakuwa sahihi au mafikio hayapo.

Angalia mipangilio ya Eneo.

330

Hitilafu ya muunganisho salama wa FTPS/FTPS imetokea.

  • Angalia eneo kwenye mipangilio ya ufikio.

  • Endesha Web Config, na kisha usasishe cheti cha kina.

  • Endesha Web Config, na kisha ulete au usasishe cheti cha CA.

Iwapo hitilafu hiyo haiwezi kufutwa, zima uthibitshaji wa cheti kwenye mipangilio ya ufikio.

331

Hitilafu ya mawasiliano imetokewa wakati wa kupata orodha ya miishilio.

Chapisha ripoti ya muunganisho wa mtandao ili ukague kama printa imeunganishwa kwenye mtandao.

332

Hakuna nafasi ya kutosha ya kuhifadhi inayopatikana ili kuhifadhi picha iliyochanganuliwa katika hifadhi mwishilio.

Punguza idadi ya hati.

333

Mwishilio haukuweza kupatikana kwa sababu maelezo ya mwishilio yalipakiwa kwenye seva kabla ya kutuma picha iliyochanganuliwa.

Teua tena mwishilio.

334

Hitilafu imetokea wakati wa kutuma picha iliyochanganuliwa.

-

341

Hitilafu ya mawasiliano imetokea.

  • Angalia miunganisho ya printa na kompyuta. Ikiwa unaunganisha kwenye mtandao, chapisha ripoti ya muunganisho wa mtandao ili ukague kama printa imeunganishwa kwenye mtandao.

  • Hakikisha kwamba Document Capture Pro imesakinishwa kwenye kompyuta.

350

Hitilafu ya cheti cha FTPS/HTTPS imetokea.

  • Hakikisha kwamba mipangilio ya tarehe/saa na utofauti wa saa ni sahihi.