Weka iwapo utachapisha kutoka kifaa cha nje bila kutumia kiendeshi cha kichapishi.
Baadhi ya vipengee havijaonyeshwa kwa kutegemea lugha ya uchapishaji ya kichapishi chako.
Fikia Usanidi wa Wavuti na uteue kichupo cha Print > Universal Print Settings.
Teua kila kipengee.
Angalia mipangilio, na kisha ubofye OK.