Kutumia Kushiriki Mtandao wa Microsoft

Wezesha hii ili kuhifadhi faili kwenye folda ya mtandao unaoshirikiwa kwenye kichapishaji.

  1. Fikia Web Config na uteue kihupo cha Network > MS Network.

  2. Wezesha Use Microsoft network sharing.

  3. Weka kila kipengee iwapo kunatakikana.

  4. Bofya Next.

  5. Thibitisha mipangilio, na kisha ubofye OK.