|
Vipengele |
Mipangilio na Ufafanuzi |
|---|---|
|
Server Certificate au Client Certificate |
Teua umbizo la cheti. Kwa muunganisho wa SSL/TLS, Server Certificate huonyeshwa. Kwa uchujaji wa IPsec/IP au IEEE 802.1X, Client Certificate kinaonyeshwa. |
|
Private Key |
Ukipokea cheti cha umbizo la PEM/DER kwa kutumia CSR iliyoundwa kutoka kwenye kompyuta, bainisha faili ya ufunguo faragha ambayo inalingana na cheti. |
|
Password |
Iwapo umbizo wa faili ni Certificate with Private Key (PKCS#12), ingiza nywila kwa ajili ya kusimba ufunguo faragha unaowekwa unapopata cheti. |
|
CA Certificate 1 |
Iwapo umbizo la cheti chako ni Certificate (PEM/DER), leta cheti kutoka kwa mamlaka ya kutoa cheti inayotoa CA-signed Certificate inayotumika kama seva ya cheti. Bainisha faili unayohitaji. |
|
CA Certificate 2 |
Iwapo umbizo la cheti chako ni Certificate (PEM/DER), leta cheti kutoka kwa mamlaka ya kutoa cheti inayotoa CA Certificate 1. Bainisha faili unayohitaji. |