Haiwezi Kufikia Kichapishi au Kitambazaji baada ya Kusanidi IEEE 802.1X

Mipangilio ya IEEE 802.1X sio sahihi.

Lemaza IEEE 802.1X na Wi-Fi kutoka kwenye paneli dhibiti ya kichapishi. Unganisha kichapishi na kompyuta, na kisha usanidi tena IEEE 802.1X.