Haiwezi Kusasisha Cheti Kilichotiwa sahihi Kibinafsi

Common Name haijaingizwa.

Lazima Common Name liingizwe.

Vibambo visivyoauniwa vimeingizwa kwenye Common Name.

Ingiza kati ya vibambo 1 hadi 128 vya IPv4, IPv6, jina la kipangishi, au umbizo la FQDN kwenye ASCII (0x20–0x7E).

Koma au nafasi inajumuishwa kwenye jina la kawaida.

Iwapo koma imeingizwa, Common Name linagawanywa katika sehemu hiyo. Iwapo nafasi tu ndiyo imeingizwa kabla au baada ya koma, kosa hutokea.