KuweKuweka Seva ya Proksi

Sanidi seva ya proksi iwapo yafuatayo yote ni ya ukweli.

  • Seva ya proksi imejengwa kwa muunganisho wa Mtandao.

  • Unapotumia kitendaji ambacho kichapishi kinaunganisha moja kwa moja Mtandao, kama vile huduma ya Epson Connect au huduma za wingu za kampuni nyingine.

  1. Teua Mipangilio kwenye skrini ya nyumbani.

    Unapounda mipangilio baada ya kuweka anwani ya IP, skrini ya Mahiri inaonyeshwa. Nenda kwenye hatua ya 3.

  2. Teua Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Mtandao > Mahiri.

  3. Teua Seva mbadala.

  4. Teua Tumia kwa Mipangilio ya Seva ya Proksi.

  5. Ingiza anwani ya seva ya proksi kwa umbizo la IPv4 au FQDN.

    Thibitisha thamani iliyoonyeshwa kwenye skrini ya awali.

  6. Ingiza nambari ya kituo kwa seva ya proksi.

    Thibitisha thamani iliyoonyeshwa kwenye skrini ya awali.

  7. Donoa Anza Kusanidi.