Kuangalia Hali Ya Muunganisho

Tumia programu ya uchapishaji ya Epson kuangalia hali ya muunganisho ya kifaa maizi na kichapishi.

Mifano ya programu za uchapishaji za Epson

Tafuta na usakinishe programu ya kuchapisha ya Epson kutoka kwenye Duka la Programu au Google Play iwapo bado haijasakinishwa.

  1. Kwenye kifaa maizi, washa programu ya uchapishaji ya Epson.

  2. Hakikisha kuwa jina la kichapishi linaonyeshwa kwenye programu.

    Jina la kichapishi likionyeshwa, muunganisho umefaulu kuwekwa kati ya kifaa maizi na kichapishi.

    Iwapo yafuatayo yameonyeshwa, muunganisho haujawekwa kati ya kifaa maizi na kichapishi.

    • Printer is not selected.
    • Communication error.

Angalia yafuatayo ikiwa muunganisho haujawekwa.

Angalia yafuatayo ikiwa muunganisho haujawekwa.