Chaguo za Menyu kwa Mipangilio ya Kuchapisha

Paper Source:

Teua chanzo cha karatasi ambacho karatasi huingizwa. Teua Uteuzi Otomatiki ili kuteua kiotomatiki chanzo cha karatasi kilichoteuliwa kwenye mipangilio ya kichapishi.

Media Type:

Teua aina ya karatasi unayochapisha.

Print Quality:

Teua ubora wa chapisho unaotaka kutumia kwa uchapishaji. Chaguo zinatofautiana kulinagana na aina ya karatasi.

Mipangilio Iliyoboreshwa:

Hurekebisha ung'avu na ulinganishaji wa taswira.