> Maelezo ya Msimamizi > MMipangilio ya Kutumia Kichapishi > KuwekKuweka Mipangilio Msingi ya Utendakazi kwa ajili ya Kichapishi > Kuweka Thamani Chaguo-msingi kwa Utambazaji na Kunakili (Mipangilio Chaguo-msingi ya Mtumiaji)

Kuweka Thamani Chaguo-msingi kwa Utambazaji na Kunakili (Mipangilio Chaguo-msingi ya Mtumiaji)

Unaweza kuweka thamani chaguo-msingi kwa vitendaji vifuatavyo.

  • Scan to Network Folder/FTP

  • Scan to Email

  • Scan to Memory Device

  • Scan to Cloud

  • Copy

  1. Fikia Web Config na uteue utendakazi unaotaka kuweka thamani chaguomsingi yake katika kichupo cha Scan/Copy > User Default Settings.

  2. Teua kila kipengee.

  3. Bofya OK.

    Iwapo ujumuishaji wa thamani si sahihi, inabadilishwa kiotomatiki na kisha thamani sahihi inawekwa.