Marejeleo ya Jina la Huduma kuhusu Sera ya Kikundi

Kumbuka:

Huduma zisizopatikana huonyeshwa lakini haziwezi kuteuliwa.

Jina la Huduma

Aina ya Itifaki

Nambari ya Ndani ya Kituo

Nambari ya Mbali ya Kituo

Vipengele vimedhibitiwa

Any

Huduma zote

ENPC

UDP

3289

Kituo chochote

Kutafuta kichapishi kutoka programu kama vile Epson Device Admin, kiendeshi cha kichapishi na kiendeshi cha kitambazaji

SNMP

UDP

161

Kituo chochote

Kutafuta na kusanidi MIB kutoka kwenye programu kama vile Epson Device Admin, kiendeshi kichapishi cha Epson na kiendesha kitambazaji cha Epson

LPR

TCP

515

Kituo chochote

Kusambaza data ya LPR

RAW (Port9100)

TCP

9100

Kituo chochote

Kusambaza data ya RAW

IPP/IPPS

TCP

631

Kituo chochote

Kusambaza data ya uchapishaji ya IPP/IPPS

WSD

TCP

Kituo chochote

5357

Kudhibiti WSD

WS-Discovery

UDP

3702

Kituo chochote

Kutafuta kichapishi kutoka WSD

Network Scan

TCP

1865

Kituo chochote

Kusambaza data ya utambazaji kutoka programu ya utambazaji

Network Push Scan

TCP

Kituo chochote

2968

Kupata maelezo ya kazi ya utambazaji wa msukumo kutoka programu ya utambazaji

Network Push Scan Discovery

UDP

2968

Kituo chochote

Kutafuta kompyuta wakati utambazaji wa msukumo kutoka programu ya usambazaji umetekelezwa

FTP Data (Local)

TCP

20

Kituo chochote

Seva ya FTP (kusambaza data ya uchapishaji ya FTP)

FTP Control (Local)

TCP

21

Kituo chochote

Seva ya FTP (inayodhibiti uchapishaji wa FTP)

FTP Data (Remote)

TCP

Kituo chochote

20

Mteja wa FTP (kusambaza data ya usambazaji)

Hata hivyo, hii inaweza kudhibiti seva ya FTP ambayo hutumia kituo cha mbali nambari 20.

FTP Control (Remote)

TCP

Kituo chochote

21

Mteja wa FTP (kudhibiti ili kusambaza data ya usambazaji)

CIFS (Local)

TCP

445

Kituo chochote

Seva ya CIFS (Kushiriki kabrasha ya mtandao)

CIFS (Remote)

TCP

Kituo chochote

445

Mteja wa CIFS (kusambaza data ya usambazaji)

NetBIOS Name Service (Local)

UDP

137

Kituo chochote

Seva ya CIFS (Kushiriki kabrasha ya mtandao)

NetBIOS Datagram Service (Local)

UDP

138

Kituo chochote

NetBIOS Session Service (Local)

TCP

139

Kituo chochote

NetBIOS Name Service (Remote)

UDP

Kituo chochote

137

Mteja wa CIFS (kusambaza data ya usambazaji)

NetBIOS Datagram Service (Remote)

UDP

Kituo chochote

138

NetBIOS Session Service (Remote)

TCP

Kituo chochote

139

HTTP (Local)

TCP

80

Kituo chochote

Seva ya HTTP(S) (kusambaza data ya Usanidi wa Wavuti na WSD)

HTTPS (Local)

TCP

443

Kituo chochote

HTTP (Remote)

TCP

Kituo chochote

80

Mteja wa HTTP(S) (kuwasiliana kati ya Epson Connect, usasishaji wa programu dhibiti na usasishaji wa cheti kikuu)

HTTPS (Remote)

TCP

Kituo chochote

443