> Kukarabati Kichapishi > Kukagua Kiwango cha Wino

Kukagua Kiwango cha Wino

Ili uhakikishe wino unaobakia, angalia viwango vya wino katika matangi yote ya printa.

Muhimu:

Kuendelea kutumia printa kwa muda mrefu wakati kiwango cha wino kiko chini ya laini ya chini kunaweza kuharibu printa.