
|
|
Mlisho wa karatasi ya Nyuma |
Huweka karatasi. |
|
|
Kishikilia karatasi |
Hushikilia karatasi zilizoingizwa. |
|
|
Kilinzi cha mlisho |
Huzuia vitu kuingia kwenye kichapishi. Kila mara kinafaa kufunikwa. |
|
|
Mwongozo wa ukingo |
Huingiza karatasi moja kwa moja hadi ndani ya printa. Telezesha kwenye kingo za karatasi. |
|
|
Trei ya towe |
Hushikilia karatasi zinazotolewa. Vuta kikuli na uisukume tena ndani ili kuihifadhi. |