> Maelezo ya Bidhaa > Taarifa ya Bidhaa Tumika > Msimbo wa Rola za Uchukuaji

Msimbo wa Rola za Uchukuaji

Epson inapendekeza utumie rola halali za uchukuaji za Epson.

Ifuatayo ni misimbo.

Kwa ajili ya nchi zote isipokuwa India, Bangladesh, Butani, Maldova, Sri Lanka na Nepali

Pickup Roller: C12C937771

Kwa ajili ya India, Bangladesh, Butani, Maldova, Sri Lanka na Nepali

Pickup Roller: C12C937781

Kumbuka:
  • Wasiliana na Usaidizi wa Epson ili upate rola zako mpya za uchukuaji.

  • Maisha ya kutoa huduma ya rola ya kuchukua ni kurasa 50000 au miaka 5 kwenye karatasi wazi ya ukubwa wa A4, yoyote itakuja kwanza. Idadi ya kurasa ni ya marejeleo tu na huenda ikatofautiana kulingana na mazingira ya uchapishaji na mipangilio ya kuchapisha (kama vile aina ya karatasi, ukubwa wa karatasi na machaguo ya kuchapisha yasiyo na mpaka), na idadi halisi huenda ikiwa ndogo zaidi.

    Pia, maisha ya kutoa huduma yanayokisiwa hutofautiana unapotumia karatasi halali ya Epson na wakati unatumia karatasi isiyo halali.