Epson inapendekeza utumie chupa halali za wino za Epson.
Ifuatayo ndio misimbo ya chupa halisi za wino wa Epson.
Waranti ya Epson haishughulikii uharibifu uliosababishwa na wino mwingine kando na ule uliobainishwa, pamoja na wino wowote halali wa Epson usioundiwa printa hii au wino wowote wa mhusika mwingine.
Bidhaa zingine ambazo hazijatengenezwa na Epson zinaweza kusababisha uharibifu ambao haujasimamiwa na udhamini wa Epson, na wakati mwingine, zinaweza kusababisha mienendo ya uchapishaji isiyo ya kawaida.
Misimbo ya chupa ya wino hutofautiana kulingana na eneo. Kwa misimbo sahihi katika eneo lako, wasiliana na usaidizi wa Epson.
Ingawa chupa za wino zinaweza kuwa na nyenzo zilizorejelezwa, hii haiathiri ufanyaji kazi au utendaji wa printa.
Sifa na sura ya chupa ya wino zinaweza kubadilishwa bila notisi ili kuoboresha.
Unaweza kuhitaji chupa mbili za wino wa BK ili kujaza tanki hadi kwenye mstari wa juu.
|
Bidhaa |
BK: Black (Nyeusi) |
C: Cyan (Siani) |
M: Magenta (Majenta) |
Y: Yellow (Manjano) |
|---|---|---|---|---|
|
ET-14100 Series |
104 |
104 |
104 |
104 |
|
L11050 Series |
103 |
103 |
103 |
103 |
Tembelea tovuti ifuatayo kwa maelezo kuhusu nyuga za chupa ya wino ya Epson.
|
BK: Black (Nyeusi) |
C: Cyan (Siani) |
M: Magenta (Majenta) |
Y: Yellow (Manjano) |
|---|---|---|---|
|
003 |
003 |
003 |
003 |
|
BK: Black (Nyeusi) |
C: Cyan (Siani) |
M: Magenta (Majenta) |
Y: Yellow (Manjano) |
|---|---|---|---|
|
004 |
004 |
004 |
004 |