Kuendesha Usafishaji wa Nishati (Mac OS)

  1. Teua Mapendeleo ya Mfumo kwenye menyu ya Apple > Vichapishaji na Vitambazaji (au Chapisha na Utambaze, Chapisha na Utume Faksi), na kisha uteue kichapishaji.

  2. Bofya Chaguo na Vifaa > Huduma > Fungua Huduma ya Printa.

  3. Bofya Usafishaji wa Nishati.

  4. Fuata maagizo ya kwenye skrini.