Usiingize vitu ndani ya printa kupitia sloti.
Usiingize mkono wako ndani ya printa wakati wa uchapishaji.
Usiguse kebo tambarare nyeupe na mirija ya wino iliyo ndani ya printa.
Usitumie bidhaa za erosoli zilizo na gesi zinazoweza kuwaka moto ndani au kando ya printa. Ukifanya hivyo unaweza kusababisha moto.
Usisogeze kichwa cha kushapisha ukitumia mkono; la sivyo unaweza kuharibu printa.
Kuendelea kutumia printa kwa muda mrefu wakati kiwango cha wino kiko chini ya laini ya chini kunaweza kuharibu printa. Jaza tanki la wino hadi mstari wa juu wakati kichapishi hakifanyi operesheni. Ili kuonyesha makadirio sahihi ya kiwango cha wino, weka upya kiwango cha wino baada ya kujza tanki.
Kuwa ukizima printa ukitumia kitufe cha
. Usichomoe printa au kuzima nishati katika sokei hadi taa ya
iwache kumwekamweka.
Ikiwa hutatumia printa kwa muda mrefu, hakikisha kuchomoa waya ya nishati kutoka kwa soketi ya stima.