Kuchapisha Laha la Hali ya Mtandao

Unaweza kukagua maelezo ya kina ya mtandao kwa kuyachapisha.

  1. Pakia karatasi.

  2. Teua Mipangilio kwenye skrini ya nyumbani.

  3. Teua Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Mtandao > Hali ya Mtandao.

  4. Teua Chapisha Karatasi ya Hali.

  5. Angalia ujumbe, na kisha uchapishe karatasi ya hali ya mtandao.

  6. Funga skrini.

    Skrini hufunga kiotomatiki baada ya kipindi maalum cha muda.