> Kukarabati Kichapishi > Kukagua Idadi Kamili ya Kurasa Zilizoingizwa Kwenye Printa > Kuangalia Jumla ya Idadi ya Kurasa Zilizoingizwa Kwenye Kichapishi (Paneli Dhibiti)

Kuangalia Jumla ya Idadi ya Kurasa Zilizoingizwa Kwenye Kichapishi (Paneli Dhibiti)

Maelezo yanachapishwa pamoja na ruwaza ya ukaguzi wa nozeli.

  1. Weka karatasi tupu yenye ukubwa wa A4 katika kichapishi.

    Kupakia Karatasi katika Mkanda wa Karatasi

  2. Teua Matengenezo kwenye skrini ya nyumbani.

  3. Teua Ukgz Nozeli ya Kichwa Chapa.

  4. Fuata maelekezo yaliyo kwenye skrini kuchapisha ruwaza ya kukagua nozeli.