
|
|
Hukurudisha kwenye skrini ya awali. |
|
|
|
Hubadili orodha ya mipangilio kutumia vichupo. Kichupo Mipangilio Mahiri huonyesha vipengee vingine unavyoweza kuweka kama muhimu. |
|
|
|
Huonyesha orodha ya vipengee vya mpangilio. Wakati Vipengee vya rangi ya kijivu havipatikani. Teua kipengee ili kukagua mbona hakipatikani. Iwapo tatizo lolote litatokea, |
|
|
|
Huanza operesheni kwa kutumia mipangilio ya sasa. Vipengee vinatofautiana kulingana na menyu. |
|
|
Nakala |
Huonyesha kipadi kwenye skrini na kukuruhusu kuweka idadi ya nakala. |
|
|
|
Huanza kuchapisha, kunakili, kutambaza au kutuma faksi. |
|