Kuendesha Usafishaji wa Nishati (Windows)

  1. Fikia dirisha la kiendeshi cha kichapishi.

  2. Bofya Usafishaji wa Nishati kwenye kichupo cha Utunzaji.

  3. Fuata maagizo ya kwenye skrini.

    Kumbuka:

    Iwapo huwezi kuendesha kipengele hiki, tatua matatizo yanayoonyeshwa kwenye paneli dhibiti ya kichapishi. Pili, fuata utaratibu kutoka hatua ya 1 ili kuendesha kipengele hiki tena.

Muhimu:

Ikiwa ubora wa chapisho haujaimarika baada ya kuendesha Usafishaji wa Nishati, subiri kwa angalau saa 12 bila kuchapisha kisha uchapishe ruwaza ya uangaliaji nozeli tena. Endesha Usafishaji Kichwa cha Chapa au Usafishaji wa Nishati tena kwa kutegemea ruwaza iliyochapishwa. Ikiwa ubora bado hajuaimarika, wasiliana na timu ya usaidizi ya Epson.