> Maelezo ya Bidhaa > Orodha ya Menyu ya Mipangilio > Rejeza Mipangilio Chaguo-msingi

Rejeza Mipangilio Chaguo-msingi

Teua menyu kwenye paneli dhibiti kama ilivyofafanuliwa hapa chini.

Mipangilio > Rejeza Mipangilio Chaguo-msingi

Huweka upya menyu zifuatazo kwa chaguo-msingi yake.

  • Mipangilio ya Mtandao

  • Nakili Mipangilio

  • Mipangilio ya Uchanganuzi

  • Mipangilio ya Faksi

  • Ondoa Data na Mipangilio Yote