Nakili nakala nyingi asili kwenye pande zote mbili za karatasi.

Weka nakala zote asili zikiwa zinaangalia juu katika ADF.
Kuweka Nakala Asili kwenye ADF
Iwapo unataka kunakili nakala asili ambazo haziauniwi na ADF, tumia glasi ya kitambazaji.
Pia unaweza kuweka nakala asili kwenye glasi ya kitambazaji.
Teua Nakili kwenye skrini ya nyumbani.
Teua kichupo cha Nakili, na kisha uteue
(Pande 2) > 1>Pande 2.
Bainisha mwelekeo asili na mkao wa kubana, na kisha uteue Sawa.
Donoa
.