Kuendesha Usafishaji wa Nishati (Paneli Dhibiti)

Soma maagizo ya Usafishaji wa Nishati kabla ya kuendesha kipengele hiki.

  1. Bonyeza kitufe cha ili uzime kichapishi.

  2. Unaposhikilia chini kitufe cha , bonyeza kitufe cha nishati cha hadi mwangaza wa nishati umweke kuonyesha skrini ya uthibitisho.

  3. Fuata maagizo yaliyo kwenye skrini ili kuendesha kipengele cha Usafishaji wa Nishati.

    Kumbuka:

    Iwapo huwezi kuendesha kipengele hiki, tatua matatizo yanayoonyeshwa kwenye skrini. Pili, fuata utaratibu kutoka hatua ya 1 ili kuendesha kipengele hiki tena.

  4. Baada ya kuendesha kipengele hiki, endesha ukaguaji nozeli ili kuhakikisha nozeli hazijaziba.

    Kwa maelezo kuhusu jinsi ya kuendesha ukaguzi wa nozeli, tazama maelezo husiani hapa chini.

Muhimu:

Ikiwa ubora wa chapisho haujaimarika baada ya kuendesha Usafishaji wa Nishati, subiri kwa angalau saa 12 bila kuchapisha kisha uchapishe ruwaza ya uangaliaji nozeli tena. Endesha Usafishaji Kichwa cha Chapa au Usafishaji wa Nishati tena kwa kutegemea ruwaza iliyochapishwa. Ikiwa ubora bado hajuaimarika, wasiliana na timu ya usaidizi ya Epson.