> Utambazaji > Kutambaza Nakala Asiili kwenye Wingu > Chaguo za Menyu Msingi za Kutambaza kwenye Wingu

Chaguo za Menyu Msingi za Kutambaza kwenye Wingu

Kumbuka:

Huenda vipengee visipatikane kulingana na mipangilio mingine uliyofanya.

Nyeusi na Nyeupe/Rangi

Chagua ikiwa utatambaza kwenye monokromu au kwa rangi.

JPEG/PDF

Teua umbizo ambalo unataka kuhifadhi taswira zilizotambazwa.