Kubadilisha Muunganisho wa Mtandao kutoka Ethaneti hadi Wi-Fi

Badilisha muunganisho wa Ethaneti hadi kwa Wi-Fi kutoka katika paneli dhibiti ya kichapishaji. Mbinu ya kubadilisha muunganisho kimsingi ni sawa na mipangilio ya muunganisho wa Wi-Fi.