> Mwongozo wa Paneli Dhibiti > Kutazama Uhuishaji

Kutazama Uhuishaji

Unaweza kutazama uhuishaji wa maagizo ya kuendesha kama vile kupakia karatasi au kuondoa karatasi zilizojaa kwenye skrini ya LCD.

  • Bonyeza kitufe cha : Huonyesha skrini ya msaada. Donoa Jinsi ya na kisha uteue vipengee unavyotaka kutazama.

  • Donoa Jinsi ya upande wa chini wa skrini inayotumika: Huonyesha uhuishaji nyeti wa muktadha. Kumbuka kwamba uhuishaji hutegemea muundo wa kichapishi.

Huionyesha jumla ya idadi ya hatua na nambari ya hatua ya sasa.

Katika mfano ulio hapo juu, unaonyesha hatua 3 kutoka kwa hatua 5.

Hukurudisha kwenye hatua ya awali.

Huonyesha maendeleo yako kupitia hatua ya sasa. Uhuishaji hurudia wakati upau wa maendeleo hufika mwisho.

Huisogeza kwa hatua inayofuata.