Unaweza kunakili anakala asili bila vivuli na mashimo yaliyotobolewa.

Weka nakala za kwanza.
Iwapo unataka kunakili nakala asili nyingi, weka nakala zote asili kwenye ADF.
Teua Nakili kwenye skrini ya nyumbani.
Teua kichupo cha Mipangilio Mahiri, teua Ondoa Kivuli au Ondoa Mashimo ya Panchi, na kisha uwezeshe mpangilio.
Donoa
kwenye kichupo cha Nakili.