> Maelezo ya Bidhaa > Taarifa ya Bidhaa Tumika > Misimbo ya Chupa ya Wino

Misimbo ya Chupa ya Wino

Epson inapendekeza utumie chupa halali za wino za Epson.

Ifuatayo ndio misimbo ya chupa halisi za wino wa Epson.

Kwa matumizi ya Uropa

Bidhaa

BK: Black (Nyeusi)

C: Cyan (Siani)

M: Magenta (Majenta)

Y: Yellow (Manjano)

ET-15000

102

102

102

102

L14150

101

101

101

101

Kwa matumizi ya Asia

BK: Black (Nyeusi)

C: Cyan (Siani)

M: Magenta (Majenta)

Y: Yellow (Manjano)

001

001

001

001

Muhimu:

Waranti ya Epson haishughulikii uharibifu uliosababishwa na wino mwingine kando na ule uliobainishwa, pamoja na wino wowote halali wa Epson usioundiwa printa hii au wino wowote wa mhusika mwingine.

Bidhaa zingine ambazo hazijatengenezwa na Epson zinaweza kusababisha uharibifu ambao haujasimamiwa na udhamini wa Epson, na wakati mwingine, zinaweza kusababisha mienendo ya uchapishaji isiyo ya kawaida.

Kumbuka:
  • Misimbo ya chupa ya wino hutofautiana kulingana na eneo. Kwa misimbo sahihi katika eneo lako, wasiliana na usaidizi wa Epson.

  • Kwa watumiaji walio Ulaya, tembelea tovuti ifuatayo kwa taarifa kuhusu uga wa chupa ya wino ya Epson.

    http://www.epson.eu/pageyield

  • Ingawa chupa za wino zinaweza kuwa na nyenzo zilizorejelezwa, hii haiathiri ufanyaji kazi au utendaji wa printa.

  • Sifa na sura ya chupa ya wino zinaweza kubadilishwa bila notisi ili kuoboresha.