> Kukarabati Kichapishi > Kuboresha Ubora wa Uchapishaji, Kunakili, Kutambaza, na Faksi > Kupangilia Kichwa cha Kuchapisha (Paneli Dhibiti)

Kupangilia Kichwa cha Kuchapisha (Paneli Dhibiti)

  1. Weka karatasi tupu yenye ukubwa wa A4 katika kichapishi.

    Kupakia Karatasi katika Mkanda wa Karatasi

  2. Teua Matengenezo kwenye skrini ya nyumbani.

  3. Teua Ulainishaji Kichwa.

  4. Teua mojawapo ya menyu za ulainishaji, na kisha ufuate maagizo kwenye skrini ili uchapishe ruwaza ya ulainishaji.

    • Ulainishaji Wima: Chagua hii ikiwa uchapishaji wako utaonekana ukiwa na ukungu au mistari isiyolingana.
    • Upangiliaji Kimlalo: Chagua hii ikiwa utaona mistari mlalo mara kwa mara.
  5. Fuata maagizo ya kwenye skrini.