> Kutatua Matatizo > Ubora wa Kuchapisha, Kunakili na Kutambaza ni Duni > Ubora wa Nakala ni wa chini > Kingo za Taswira Zinapogolewa Wakati wa Kuchapisha Bila Mipaka

Kingo za Taswira Zinapogolewa Wakati wa Kuchapisha Bila Mipaka

Kwa sababu taswira imepanuliwa kidogo, sehemu inayochomoza inapogolewa.

Suluhisho

Teua mpangilio mdogo wa upanuaji.

Teua Nakili > Mipangilio Mahiri > Nakala Isiyo na mipaka > Upanuzi kwenye paneli dhibiti, na kisha ubadlishe mpangilio.